Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Kusini wanakipenda chama kinachotetea maslahi ya umma na si watu wachache naomba mtambue ht vita vya maji maji vilipiganwa kusini sasa karibu sana M4C...Achana na hao makada wa CCM.
 
Shime Waislamu wahangamizeni 2015 hawa maadui zenu wanaowapigeni vita.Wanaona aibu wameamua wazindulia dar.Na bado dar 2015 hampati jimbo hata moja

ungependa iwe hivyo ila imedunda.haijawahi kutokea cdm wakapiga vita waislam hiyo ni mbinu ccm wanarumia kuwaada waislam ili ccm waendeleze ujangili wao
 
Ha ha haaaaa!!Unafiki ni kitu kibaya sana na mwishowe watu huumbuka!! Thread hii inaingia page ya 4 sijaona neno madrasa, gaidi, elimu duni ,wazee wa ubwabwa na halua na kejeli nyingine za muundo huo simply because mikoa lengwa inaaminika kuwa na waumini wengi wa dini yetu ile.

Ha ha ha haaaaa!! Na wakuu wa kampeni za huko watakuwa ZITTO (a.k.a masalia, msaliti, mzandiki) akiwa na bega kwa bega na Said Arfi. GIVE ME A BREAK, POLITICS IS AN ASSHOLE!!
 
Tulia wewe Gamba mbona unaweweseka na kuonesha wasiwasi mwingi? mmekamatwa vibaya mpaka uharo wakutoka,CDM haipo hvyo bali fitna zenu tuu hizo na ndugu zetu Waislam walishawajua kua lengo lenu mtugawanye ili mtutawale wahun.i nyie
 
Wapenzi na wanaCHADEMA wanatoka kwenye hayo maeneo...tunawakaribisha kwenye vikao vya maandalizi ya uzinduzi wa kanda ya kusini kwa dar vinafanyika kila jmosi makao makuu saa 9:00 jioni.

Hapo kuna tukio lazima lifanyike ili kuleta attention kwa watu, then safari ya Kusini inanukia.
Chadema kweli ni copy and paste.
 
unajidanganya mkuu. chadema hawakubaliki kusini. kule labda viongozi wa CUF ndo wanaweza kuwa na ushawishi kidogo kwa upande wa upinzani na si chadema. kama huamini subiri 2014

wakunyumba tangu lini na wewe umeingia kwenye mtego wa udini?mnatuaribia nchi yetu kwa kuwagawa watu kwa dini zao itawasaidia nini?
 
Tulia wewe Gamba mbona unaweweseka na kuonesha wasiwasi mwingi? mmekamatwa vibaya mpaka uharo wakutoka,CDM haipo hvyo bali fitna zenu tuu hizo na ndugu zetu Waislam walishawajua kua lengo lenu mtugawanye ili mtutawale wahun.i nyie

I did never and i will never believe or involve in Tanzania politics anyhow my bro! Sijawahi kuwa mfuasi wa chama chochote kile cha siasa Tanzania kiwe ni CCM,CDM,CUF,PPT MAENDELEO au SAUTI YA UMMA. kwangu mimi siasa za Tanzania naona zimejaa Selfishness and Greediness wote lengo lao ni kujinufaisha wao na familia zao ndiyo maana kwenye comment yangu nime-conclude with general statement kuwa POLITICS IS AN ASSHOLE.

Nilichojaribu kusema ni kuwafumbua watu macho waone wanavyochezewa akili.Kuhusu nyie kuwa marafiki na waislamu hilo silijui tuwaachie wenyewe waislamu wapime na waone kama unalolisema ni la ukweli au unakiogopa kivuli chako. (By the way i'm devoted MUSLIM)
 
Kwa hiyo uzinduzi utafanyikia dar?
maneno yenu ya kiccm hayana nafasi kwa sisi watu wa kileo,tatizo lenu ccm bado mna mawazo kwamba,unaweza kumuambia mtu kwamba amia ccm kwa sababu majani ya miti yote ni kijani,watu huko wameshatoka,wanachotaka ni hoja yenye mashiko,kinachofanyika dar ni mipango na maandalizi, mziki wote utakuwa kusini,utaelewa tu,hata kama unajifanya uelewi kama mnavyojifanya amuelewi wana Mtwara wanataka nini kuhusu Gesi, mnataka watu waelewe kwamba,wana Mtwara wanachotaka ni gesi ni yao isiende mkoa wowote,propaganda za kizamani
 
Kwanini ifanyikie Dar na sio kwenye mojawapo ya mikoa husika?

hiyo cyo issue ni strategies za waandaaji ambazo cyo lazima zikidhi matakwa yako. hata vita vya kagera vikao vilikuwa vinafanyika mwanza.
 
Kusini ina mkao wake, yapo maeneo ya kucn yana muamko mkubwa kama masasi na mtwara . Maeneo haya yanaweza kupata hamasa haraka, maeneo kama kilwa,lindi mjini na tunduru yana mrengo wa ki CUF, maeneo ya lindi vijijini yaliyo pwani kama madangwa, mnolela, hingawali,mkwaya,mpapura, mnazi mmoja, ruhokwe yana influence ya CUF na yaliyo bara kama mtama, nyangao, rondo, kiwalala, ruo, ni himaya ya CCM. Maeneo ya liwale, nachingwea, ni ccm, tandahimba, newela na nanyumbu ni mpambano wa cuf na ccm, chadema wanaweza kuanzia ndanda
 
mkuu, suala la chadema kuwachukia waislamu hilo liko wazi na huwezi kuikana dhambi hiyo. kila kukicha wabunge wenu wanahangaika na cd feki kuonyesha waislamu wanapanga njama za mauaji. kwa siku za karibuni alianza selasini na wiki ijayo anakuja lema. najua wabunge hao wanatumika na wachungaji wa kichaga kwa malengo yao yasiyojulikana. kwa nini wabunge wachaga wanawachukia sana waislamu?

Mkuu usilolijua ni sawa na ucku wa giza.
Hivi ni kwamba hujui kuwa Wamachame ni Waislamu?
Mji wa Moshi una misikiti kama miji mingine ya ukanda wa bara angalia Arusha Tarime Bukoba Babati Hakuna tofauti.
Kama makanisa yalivyo machache Mikoa ya Pwani halikadhalika Misikiti ni michache kwa miji yote ya Bara.
Alikopita mwarabu basi uislamu upo kwa wingi na alikopita mzungu basi ukristo upo.
Usipandikize chuki. Chadema ina wafuasi huko Ruvuma na sasa ni lindi na mtwara acha kijieneze huko kama wananchi hawatawaunga mkono ni wao.
Ushauri wako ni kuwa Wasiende kusini nini?
Mbona ccm, cuf na wengine wapo na ofisi na wanachama kaskazini husemi huo ni ulimbukeni na woga.
 
mchichahau kutuletea na kadi...maana mtwara na lindi tume choka chana...
 
Takwimu zako haziko sahihi usije ukawa na akili za mtumba tuliona wote kwenye luninga na tulisoma magazeti

Haja ya watu wakusini ni kutendewa haki jambo ambalo DR Slaa anaamini kua ni bidhaa adimu Tanzana.Ndo maana akijitokeza mtu akatangaza atatoa haki sawa kwawote wanadhani labda ni mkweli wanamkimbilia.Lakini CHADEMA wameonyesha mapemaaaaaaaaaaa kuififisha haki yawatu wa kusini.Tumewastukia hawana permanent friend bali permanent interest(gesi) nawatu wakusini.
 
wenzenu mate yanawavuja wawapokonye gesi YENU wapeleke KILIMANJARO.
 
Tulia wewe Gamba mbona unaweweseka na kuonesha wasiwasi mwingi? mmekamatwa vibaya mpaka uharo wakutoka,CDM haipo hvyo bali fitna zenu tuu hizo na ndugu zetu Waislam walishawajua kua lengo lenu mtugawanye ili mtutawale wahun.i nyie

leo mnaenda kusini kwenye waislamu wengi mumeweka mikono nyuma? Ropokeni maneno yenu muwaone watu wa kusini walivyo.
 
Back
Top Bottom