HakikaHamia huku kwenye browser basi nisije nikakupoteza kwa njaa!!
Hapo ndo unanifurahisha,ni kile unakula roho yangu🤗
hebu nitoni ushamba hiyo brocc huwa inaliwa hivohvo au inapikwa
Inapikwahebu nitoni ushamba hiyo brocc huwa inaliwa hivohvo au inapikwa
hebu nitoni ushamba hiyo brocc huwa inaliwa hivohvo au inapikwa
sorry kwa usumbufu
anhaa! thanks in advanceHii ni steamed.. haipikwi direct kwenye maji.. inapikwa na mvuke
Chemsha maji tia humo dk 10 nyingi unaziopoa,mafuta chumvi basi unatafuna.hebu nitoni ushamba hiyo brocc huwa inaliwa hivohvo au inapikwa