Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,046
- 7,450
nina zaidi ya mwaka sijala tambi aise
nina zaidi ya mwaka sijala tambi aise
😅😅😅nimependa hii ngoja nikagonge kifungua kinywa hasa pale juu.View attachment 2824917
Kifungua kinywa unyamwezini..
View attachment 2824918
Akiba haiozi....
View attachment 2824920
Hii ya leo leo....😋😋😋
View attachment 2824924
Mbegu nyeusi... 😋😋😋😋
hebu nitoeni ushamba. hayo ma vegs kwa salad huwa mnayapitisha kidogo
chakula cha kiume kwa nguvu za kiume
hebu nitoeni ushamba. hayo ma vegs kwa salad huwa mnayapitisha kidogo
kwenye moto yalainike au mnayagonga hivohivo eg chainiz
Hapo itakua indonesia😁View attachment 2828115
Breaking the fast after 12 hours since last meal.
Rosted plantain and toasted chicken breast.