Uzi wa vyakula tu

Mie kitu nikikipenda nasubiria.. labda vile nimeshazoea kwenye biashara..

Kama cooking ware siku hizi nasubiria tu, kusema ukweli wenzetu huko wana vitu vizuri..

China Silvercrest wamezitohoa zinafuka Moshi balaa Sina hamu mie.

Jaribu korea
 
1699310173738.png
 
Asante umesema ndio nimefungua huu uzi niongee hiki pia, Mshana Jr nakuomba kaka yangu nyoka, mijusi sijui kenge usiwe unatuwekea humu.

Mimi binafsi huwa nakuwa inspired sana na vyakula vya humu juzi nakula nimefungua uzi nakutana na vyakula vya ajabu niliacha kula na nilipata kichefuchefu na kinyaa kwa muda mrefu sana.

Tunaomba wote tuwe tunaweka vyakula ambacho hata mwenzio akiona anajisikia vizuri wale wa kupika tukapike sio kukatishana tamaa ya kula
My apology..
20231107_093834.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom