missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,009
- 7,339
Hii supu ya mbuzi? MajaribuView attachment 2019375za asubuhi!!
Hii supu ya mbuzi? MajaribuView attachment 2019375za asubuhi!!
Pouwapoa kaka tuombe heri uzima na afyaAnamaanisha uzalishaji wa sulphuric carbon monoxide zinc aluminium dioxide gas.
Mkuu sijakusahau. Lile jambo letu la manufaa nalitafutia muda. Tufunge mwaka na kwa kuwa na dira inayoeleweka.
Mkuu kula vinono, usisahahu kufanya jogging na pushups.Hahhaha magonjwa tupu ukiayaendekeza hayo manyama
Songela mluna!Ulugile mwenyewe, na pembeni juice ya ubuyu na vanilla, tamu mnooo, songela zig zig
Hongera sana. Mimi nimeshazoea sasa sipati shida.Kabisa..tomorrow never comes. Naanza kula kama hivyo nitaleta mrejesho hapa January maombi yenu tafadhali
Delightful! & I miss you Lizzy.
Mie pia!☺☺Delightful! & I miss you Lizzy.
Usisahau kutupiamo hapa nasi tuige mealsMeamka na mood kabisa leo..ngoja niendelee utanikuta January ntakuwa naku motivate