Jokes aside, my mind ask these questions quriously.....!
Are you a content creator?
Are you a mixture of Masai and Sukuma man?...🤪🤪🤪😁
Hizo njegere zitanifanya nigonge hodi kwako bila mualiko...😋😋😋😋.
Ila tuu, kwa sie wanyamwezi.... raha ya ugali uufinyange kwenye kiganja halafu uuchovye kwenye dimbwi la mboga zilizoungwa na karanga ya kusaga kwenye kibao uuweeehh....!!!!😋😋😋
Wacha nifanye mchakato wa safari ya Tabora.... nikale mahama, karanga na asali.
Yeah, my mind think about food by 98% 😬🙄🙂🙂🙂.
SGR inanihusu...🙃🚶♀️🚶♀️🚶♀️.