HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
aah Asante umenikumbusha mbali😀, itabidi nirudieeMchemsho unavutia na kutamanisha.
Ohhhh asante sana, barikiwa na jumapili.Una roho nzuri sana mkuu wa kutoa msaada wa recipe kama mtu akikuomba endelea na moyo huo huo
Mimi simshauri mtu ale na kunywa hii kitu. Hatari sana mwilini.
Ulipo nipooo
Njoo na soda yoyote ya baridi 🙂Ulipo nipooo
Fanta orange first choiceNjoo na soda yoyote ya baridi
Right on point 🤗Fanta orange first choice
Vitunguu swaumi, nyanya, tomato paste, carrot na hoho.
Ugali uko wapi sasa tumalize kazi
Nkamu mbona Finini fijo ndo maana hunenepi
Wewe unatafutwa na Polisi kwa kosa la kuteka na kuficha binadamu.Infantry Soldier umemficha wapi?😁😁😁Aisee we jamaa kiboko una utani na mamoderata nini? 🤔