Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,640
- 697,994
- Thread starter
- #21,021
Nini mbaya kwani?Ban ya siku saba kila baada ya siku mbili!View attachment 1948981
Nini mbaya kwani?Ban ya siku saba kila baada ya siku mbili!View attachment 1948981
Asante mkuu mshana.
Jamani bado nasubiri majibu, Ninaugeni weekend hii.Food lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Yupo vzrMAZA wangu anatafuna hivyo vibichi, yaani Kitunguu kama kilivyo anakimenya maganda na kuanza kukitafuna
Sawa ntajitahidUkishaondoa yale maji yake umeharibu kila kitu.Vitunguu maji,vitunguu swaumu pamoja na tangawizi ni miongoni mwa vyakula bora vya muda wote hapa duniani.
Jifunze kula vitu hivi vikiwa vibichi kisha utanishukuru bila shuruti.
View attachment 1939681
Samaki wa Nazi, Nyanya chungu, Bamia, Pilipili Hoho.
Ubwabwa na pilau siyo chakula.Vikwepe kadri uwezavyo.Ubwabwa mdogo sana.