ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,046
- 42,742
Kanda ya Kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye avatar yako kuna kitu kinanihamasisha!😄😄😄Nyama nzuri ila bucha halihamasishi
Chief! Daah! Yaani unanionesha hotfire kweli? Si halali kwa upande wangu hivyo!Viheshimiwa vimeweka pozi siku inayosubiriwa bado
Emiir
Chaliifrancisco
Kim Dawizzy
Darmian View attachment 1871084
Hao paka mnaopeana shauri zenuHata kama, ujue nakupenda hadi naumwa!! Hapa nimetoka kuzunguka majalala yote, lakini nashangaa paka hawaonekani
Nikimpata mmoja tu namuona kaka yako Behaviourist emiir wa chura haraka sana!
Leo bilabila
Nakubaliana na wewe. Ugumu upo kwa familia zetu hizi una mke mna watoto sita, ndugu zako na ndugu wa mkeo jumla mpo kumi na tatu ndani uwezekano wa kumudu kula hivi ni mdogoUnaweza kujionea hapa kuwa chakula ambacho mwili wako unahitaji siyo chakula ambacho hisia zako au mdomo wako au utamaduni wako uliokulia unahitaji.
Wengi wenu hapa mkiona chakula hiki mtapatwa na kinyaa lakini ni chakula kilichojaa virutubisho na ambacho ndicho mwili wako unahitaji.
Tunasema kuwa umekua mkubwa kwenye masuala ya lishe na vyakula pale ambapo utaanza kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji na siyo vile ambavyo unavitamani wewe labda kwa utamu wake au kutokana na utamaduni uliokulia.
Kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji ni suala la kujifunza na kusoma juu ya vyakula bora na mapishi yake ili uweze kuvijua.View attachment 1870720
Hahahaha kama vijiniMshana Jr vione vijamaa hiviView attachment 1871083
Tunakula kwa macho sio!Sometimes tunakula na kushiba kwa imani
Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia ArushaNimemiss mboga za majani za Arusha
Huku Dar tunakula nyasi
Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia Arusha
Upo sahihi kabisa mkuu.Tatizo kubwa ambalo linatusumbua waafrika ni umasikini wetu wa akili wa kuwekeza nguvu zetu,akili zetu,maarifa yetu pamoja na ujanja wetu katika kupata watoto wengi badala ya kuwekeza katika kupata utajiri.Nakubaliana na wewe. Ugumu upo kwa familia zetu hizi una mke mna watoto sita, ndugu zako na ndugu wa mkeo jumla mpo kumi na tatu ndani uwezekano wa kumudu kula hivi ni mdogo
Nyama pendwa...Viheshimiwa vimeweka pozi siku inayosubiriwa bado
Emiir
Chaliifrancisco
Kim Dawizzy
Darmian View attachment 1871084
Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia Arusha
Uupate uliopikwa kwa tui la nazi... Mama! 👌😝 Kando yako bonge la ugali wa moto na glass yako ya juice ya ukwaju, baridiiiii! 🤣 🤣 🤣Unaitwa Mnavu, hii ni mboga ya watu wenye asili ya tanga(wazigua) Mnavu mbali na utamu wake, lakini tena huongeza damu kwa watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu na hata maafisa wa afya huwashauri wananchi kutumia mboga ya mnavu ili kuinarisha MFUMO wa damu yao mwilini.View attachment 1871221