missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,008
- 7,338
Karibu sana aisee..nakutumia locationMimi naomba mwaliko
Karibu sana aisee..nakutumia locationMimi naomba mwaliko
Asante. Naisubiria locationKaribu sana aisee..nakutumia location
Asubuhi au ya mchana?Naomba idea za menu ya Eid mama..
Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuuAsubuhi au ya mchana?
Pika chips (French fry) na nyama kavu au maini au bata kama unakula.Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuu
Ooh thanks..kwenye kuku hapo ngoja nitafute nundu nchome mishkakiPika chips (French fry) na nyama kavu au maini au bata kama unakula.
Kama una jiko choma kuku au nyama barbecue (sekela)
Na salad na juice
Pika mihogo ya nazi, ndizi rosti na kuku deep fry... Pasikose chatni au ukwaju hapo. Shushia na sharubati ya passion! Happy holidays!Mchana..asubuhi haina shida. nimechoka biriani na pilau kila sikukuu
Hatari na nusu
Thank youPika mihogo ya nazi, ndizi rosti na kuku deep fry... Pasikose chatni au ukwaju hapo. Shushia na sharubati ya passion! Happy holidays!
😂