Tufani ni tunda alilokula eva bustani ya eden ndiyo akatupoteza wote, sili tunda la mti hule, ndio tumalize kwanza mjengo, halafu mwakani tarehe kama hizi tuvae kitanzi
Karibu tundaView attachment 1662304
Tanga bhana..
Mdada hujambo! hujatimiza ahadi
velvet with wiped cream
my favorite
Mda wa kula sipendagi storyView attachment 1663688
Mate yananitokaaa
Harakati za magetoni na Ollachuga OcView attachment 1663325
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huu ni Wali na vuruguMda wa kula sipendagi storyView attachment 1663688
Mmhh,aisee hii ni katafunua kwamba unakula hadi ulimi ukatike...Mda wa kula sipendagi storyView attachment 1663688
Eee kakaMmhh,aisee hii ni katafunua kwamba unakula hadi ulimi ukatike...