Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,322
- 16,489
Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani
ha hahahahaha si mchezo, moja elfu tano ilo mpaka elfu kumi
Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani
Nitakuja aiaehhhh nataka nikija zenji unipeleke nikale urojoooo hahahahaha na pweza, nasiki pweza ni wazuri sana kwa mambo yale makubwa makubwa
Ahsanteee sana kwa upendo hakika nimeshiba kwa mbali mambo mazuri mazuri haya thanks my dearHahah, Yani hapo nimekupatia kweli kweli baba Mjengo, wahi tule wotee
Haya matunda yana miba nayaogopa eti , ngoja nije zenji nasikia zenji kuna kila kituView attachment 1638631
Madoriani, matamu sana ila harufu yake ndio yameingia ila
Sehemu gani zenji wanapika vyakula vya seafood vizuri na vitamuuualaa!!! mie sijui mkuu. inawezekana lkn mana hio ni sifa moja wapo ya seafood
Sehemu gani zenji wanapika vyakula vya seafood vizuri na vitamuuu
Haya matunda yana miba nayaogopa eti , ngoja nije zenji nasikia zenji kuna kila kitu
KidariKwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
nimekaanga ndizi mzuzu....weka mayai tu yaliyochanganywa na vitunguu,hoho na karoti unakata vidogo vidogo then unakaanga kama chipsi mayai tu..tamuu
Kwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
Basi hayo ni matunda ya matajiri.ha hahahahaha si mchezo, moja elfu tano ilo mpaka elfu kumi
Basi hayo ni matunda ya matajiri.
Sijaona nyama tamu kwenye kuku zaidi ya pajaKwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
Haya matunda yanaonekana mabaya haya sujui ladha yake itakuwaje.View attachment 1638631
Madoriani, matamu sana ila harufu yake ndio yameingia ila
Sijaona nyama tamu kwenye kuku zaidi ya paja
Kabisa rafikiWe umeongea
Miguu ina radha yakeKabisa rafiki
Mimi nisipokula paja naona kama sijala kuku.