Sukari haileti sukari ila ukishaipata ni ngumu kuitibu maana unakua umeshazoea vitu vyenye sukari, kinacholeta sukari ni insulin kushindwa kufanya kazi yake mwilini ,Kumbe sukari huleta kisukari.. interesting
Sio chakula ila ni tundaView attachment 1636308
Apple nalo si ni chakula ati eeh!?
Hivi kumbe tupo mikoa karibu karibu hivyo ni swala la masaa mawili tu ,njoo huku Moshi ufaidi
Nashangaa Na mimiHivi kumbe tupo mikoa karibu karibu hivyo ni swala la masaa mawili tu ,
Usishangae mambo yatakua mazuri zaidiNashangaa Na mimi
hayaUsishangae mambo yatakua mazuri zaidi
Mambo ni motoooooo aisehhhh kumbe kipenzi changu unajua kuniweka karoho juu juu, huyo kuku unammaliza peke yako haiwezekani nipo njiani
Umejua kunivuruga kabisa hahahaahhaa ahsanteee kipenzi changu
Sio chakula ila ni tunda
Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi dorianiAh rafiki we huachii, karibu zenji ule madoriani msimu unaisha tenaaaa
Nitakuja aiaehhhh nataka nikija zenji unipeleke nikale urojoooo hahahahaha na pweza, nasiki pweza ni wazuri sana kwa mambo yale makubwa makubwaAh rafiki we huachii, karibu zenji ule madoriani msimu unaisha tenaaaa
Mfalme juha alikua mfalme wa hovyo sana kutokoeaDoriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani
Hahah, Yani hapo nimekupatia kweli kweli baba Mjengo, wahi tule wotee😍Mambo ni motoooooo aisehhhh kumbe kipenzi changu unajua kuniweka karoho juu juu, huyo kuku unammaliza peke yako haiwezekani nipo njiani
Mfalme juha alikua mfalme wa hovyo sana kutokoea
Haya matunda yanaitwaje? Yanaliwaje? Ukiyakata ndani yakoje?