Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,414
Vile jana umefurahia baada ya kusikia kuwa Mdee amesaliti kambi!Ni kweli kabisa kaka mdee
Vile jana umefurahia baada ya kusikia kuwa Mdee amesaliti kambi!Ni kweli kabisa kaka mdee
Amesaliti kambi wapiVile jana umefurahia baada ya kusikia kuwa Mdee amesaliti kambi!View attachment 1634320
Asante dear, unaziloweka kwanza? natamani kupika ila sijui kuhusu kupata unga, please naomba msaada process za kutengeneza unga wake, asanteNatumia blender
Huu uzi ni wa vyakula kwa hiyo ondoa undezi wako hapa.Kama unataka kupambana na mimi tukutane kwenye majukwaa ya siasa.Kila mtu anajua kuwa awamu hii CCM badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Unalijua hilo,nalijua hilo na CCM pia wanalijua hilo na hata waangalizi wa uchaguzi wanalijua hilo.Amesaliti kambi wapi
Acheni wivu,wanaume wazima mmekomaa na viti vya wamama.
Ingetokea Lisu na mbowe wangepata zile nafasi walizokuwa wakiziota unadhani wangeziacha??
Huu uzi ni wa vyakula kwa hiyo ondoa undezi wako hapa.Kama unataka kupambana na mimi tukutane kwenye majukwaa ya siasa.Kila mtu anajua kuwa awamu hii CCM badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Unalijua hilo,nalijua hilo na CCM pia wanalijua hilo na hata waangalizi wa uchaguzi wanalijua hilo.
Kutokana na hilo msimamo wa chama ulikuwa ni kuwanyima CCM ushirikiano wa aina yoyote ile kwa sababu serekali yao siyo halali,ni serekali iliyokosa kibali cha wananchi.Hayo mambo unayoongea ya unyanyasaji sijui wa kijinsia ni mawazo yako tu ya kujifurahisha nafsi yako.Hayana ukweli wowote wala ushahidi wowote na pia siyo fact na ndiyo maana huwezi kuthibitisha uongeacho.Ni porojo tu za vijiweni za wana CCM walioishiwa hoja.
Mimi huwa siposti siasa hapa hadi nichokozwe kama wewe leo ulivyoanza kunichokoza kwa kuniita kuwa mimi ni kaka-Mdee na umefanya haya kwenye uzi wa vyakula!
Kumbe unajua uzi wa vyakula.
Mbona wewe kuna siku umetupostia siasa
ile siku baada ya uchaguzi mbona ulipostMimi huwa siposti siasa hapa hadi nichokozwe kama wewe leo ulivyoanza kunichokoza kwa kuniita kuwa mimi ni kaka-Mdee na umefanya haya kwenye uzi wa vyakula!
Kwa nini simute tu?Sasa nitakufukuzaje hapa kukupeleka kwenye jukwaa la siasa bila ya kutia neno lolote?ile siku baada ya uchaguzi mbona ulipost
Sasa kwanini usimute tu kama hutaki kupost siasa
Wacha Bwana kaka Ni yeyeKwa nini simute tu?Sasa nitakufukuzaje hapa kukupeleka kwenye jukwaa la siasa bila ya kutia neno lolote?
haswaaHii ni pizza ya asili eee
Wewe dawa yako inachemka ngoja siku uje kwenye angle zangu kwenye majukwaa ya siasa huko!Wacha Bwana kaka Ni yeye
Angle gani hizo?Wewe dawa yako inachemka ngoja siku uje kwenye angle zangu kwenye majukwaa ya siasa huko!
Ila now umekuwa Maria Sarungi wa jfAngle gani hizo?
Nakutana na nyumbu wenzio kila siku,sasa hivi wamepoteana vibaya mno
Ila now umekuwa Maria Sarungi wa jf
Wewe pona yako ni kuja kuniquote siasa kwenye uzi wa chakula ambapo nakua sina jinsi ya kukuparua!Angle gani hizo?
Nakutana na nyumbu wenzio kila siku,sasa hivi wamepoteana vibaya mno
Nipo jukwaa la siasa tangu JanaWewe pona yako ni kuja kuniquote mambo ya siasa kwenye uzi wa chakula ambapo nakua sina jinsi ya kukuparua!