Kitu roho inapenda
Hahahahaha! AiseeHuu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani
Jr
Hahaa.. aseehHuu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani
Jr
Embu nitoe ushamba mama, hivi ndio vinini?troublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Vikalimati..ndio,mkono wangu mwenyeweEmbu nitoe ushamba mama, hivi ndio vinini?
Umepika mwenyewe?
Naomba unifundishe namna ya kupikatroublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Huu ni mchele wa mbeya au wa dareeeesalama
Jirani yangu mbona hatukaribishani
Mhmhh inna kama inna, hongera kwa utamu huutroublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Dah umenikumbusha nyumbani Kilimanjaro
Jirani ulikuwa umepotea kwa hewa jirani yangu.Jirani yangu mbona hatukaribishani
Machalari ama!!Dah umenikumbusha nyumbani Kilimanjaro
We kibokoView attachment 1526316
Dinner homemade bbq
Tena machalari ya utumboo tu na maparachichi, machalari ya nyama ya mbuzi weeeeeMachalari ama!!