Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,480
- 78,732
Hahahahakawaida tu sanaa
Hahahahakawaida tu sanaa
Hahahaha aseeNikusaidie kukuombea picha, shida naweza nikabadili mawazo nikajiwekea ndani ,
Hahahaha, dah mm sinaga tabia hizo ,ingawa sijawahi pokea mgeni toka humu
Nikusaidie kukuombea picha, shida naweza nikabadili mawazo nikajiwekea ndani ,
Hahahaha, asee mm hiyo tabia sina na siwezi kuwa nayo hata iwejemnakubaligi basii
Naona kitu cha mtheleNatural foodView attachment 1478411
Hizo ni chips za Udom i guess, jamani ni mbaya kuliko ubaya wenyewe tulikuwa tunalia shida tu enzi zetu. Chips kama zimechemshwa!
haahahahahah nilidhan macho yangu tu
Kwanin hawajui tengeneza chips mbona rahisi tu
Hahahaha, nilishindwa kuziponda kuheshimu watu humu ,ila ,mmmmmh
Hahahaha, eti pole mwayaapole mwayaa
Pamoja na hayo Kamsosi katamu tamuView attachment 1503709
Leo camera imeniangusha