Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,086
- 16,060
Hii kitu ni tam kuliko vyakula vyote dunian,daaah![]()
Wali kisamvu na nyama
Hii kitu ni tam kuliko vyakula vyote dunian,daaah![]()
Wali kisamvu na nyama
Mkuu, sh.ngapi huu mzigo?![]()
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Hapa ndipo akili znagu zinafikaga mwisho.
Hapo limekosekana tembele mkuu![]()
Ugali na dagaa mchele
Ulaji mbaya sana huu Nokia.sumu mwanzo mwisho.utazeeka vibaya
Mimi siogopi uzee kbsUlaji mbaya sana huu Nokia.sumu mwanzo mwisho.utazeeka vibaya View attachment 701671
NaaaaaaamNaam![]()
Hahaha hii ni dawa murua kwa wazee 2a viti virefu...Mungu hapendi hujui wengine tumeshindaje
Tumbo langu miee