Huku kwetu ukienda sokoni washakukatia Katia kbs za jero hupati shida
Hizo tomato π mbona hawakukata pia? π π πHuku kwetu ukienda sokoni washakukatia Katia kbs za jero hupati shidaView attachment 1790286
Hio Ni carrot mkuuHizo tomatombona hawakukata pia?
Haha, oh, wangekata pia kazi iwe rahisiHio Ni carrot mkuu
Karibu mkuu πHuyo kwio
Asante mkuuKaribu mkuu
Hilo bomu unalolitengeneza hapo,watu wakae mbali na wewe
Waeza enda kopa ukicheza! π π πKama mtu ana njaa na mfukoni kuko vibaya simshauri kabisa afungue huu uzi
Naelewa... πDddaaahhh
Tartib sheikh. 6 ngumu ujue
Hapana best.. Hii rive kabisaView attachment 1790751
Kutoka Mtandaoni.