Mmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.
Kukonda kazi aiseee
Dada mkubwa ni kitambi cha kitimoto?πππnachukia kitambi kuliko kitu chochote ni heri nishindie maji ila nisiwe na tumbosasa nakiona kinaanza
Hii sio pale stendi Tokyo kwa chini hivi,? kuna chaka pale unaweza kula mdudu km kilo 10 na ukarudi baada ya dk 10 tu ukaoda ya kupiga nswakiπ,tamu sana
Rombo green view Sinza hukosiNimetafuta ndizi utumbo mpaka nimechoka....
kinavutia
Rombo green view Sinza hukosi
Hapa ukijamba vinanuka kama gari la majitaka
Mihogo pointLocation please..
Rafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya!πππHahaaa au mimi nianze kutupia na kelele
Thanks...nikirudi daslam nitafika hapo kutafuna mihogo.Mihogo point
Rafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya!
Mwenge?Mihogo point
YeeeeereeMwenge?
Wako vizuri Kweli hao jamaaYeeeeeree