Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,727
Za kunde zile, nimekumbuka 😂. Bombardier
Tutabanika za kigogoHizo xina mkuu
Dah hii kitu naikubali sana
Zamani Sanaa
Sure this is unforgetable table
Hauna ata mdogo wako unipasie kabla wakulungwa hawajafanya yao?
Sijajua ni nini hii, ila siku ukipika pudding na faluda usikose kunitag!
Ni pudding ya box.Sijajua ni nini hii, ila siku ukipika pudding na faluda usikose kunitag!
Hii ni Zanzibar?Weekend tunamaliziaView attachment 1736901