Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,725
ile nyama kule mbona imekaa kama....
Huna akiliNapenda sana dognout (Donat) tatizo hivyo zilivyo round zinanihamisha mawazo hata kipindi nikiwa nazila!
Kwa wale ambao wameshawahi kucheki American pie 1-6 Watanielewa
Saturday flani hivi tulivu..View attachment 1724513
Karibuni tupike pamoja wakuu, chakula pendwa ndizi mchale+ nyama
HiviMwenye vitumbua, pishi la pwani naomba
Usisahau chai ya maziwa pembeniMuhogo wa nyama na pilipili kdgView attachment 1725472
Inapatikana wahi hichi chakula?
Kijitonyama, anaitwa neycassavaInapatikana wahi hichi chakula?
Pale karibu na shule pembeni ya lami?Kijitonyama, anaitwa neycassava
Karibu na miti mirefu barPale karibu na shule pembeni ya lami?