Get well the soonest my heart beatBreakfast ya mgonjwaView attachment 1690571
Nmeipenda colour yake. Ila beetroot sijaliweza kulila. Linataka moyo
Shukraan love
Kwakweli..nikitengeneza juice ya beetroot nawekaga na nanasi walau nipate ladha nzuriNmeipenda colour yake. Ila beetroot sijaliweza kulila. Linataka moyo
Yah ukichanganya na fruit kama izo ndio atleast inashukaaKwakweli..nikitengeneza juice ya beetroot nawekaga na nanasi walau nipate ladha nzuri
Wagonjwa wanafaidi!πππBreakfast ya mgonjwaView attachment 1690571
Mmmhhh. Mbaazi MashaAllah. Shatashata
...ladha yake nyama tupu...!Utamu wa shokishoki....nyama pekeakeView attachment 1691258
Clean up woman!πππWise woman, be blessed
Mpango ni kukupindua mchana kweupe!πππ