babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,934
- 20,229
Hizi makitu weka chai maziwa tu zinaserebuka
Hizi makitu weka chai maziwa tu zinaserebuka
Figo, firigisi tupe jibuVipisi hivi tugawaneniView attachment 1671099
Nagonga kabichi yangu hapa kujifanya my favourite thubutuu.usisahau na kabichi isiyopendwa na wengi
Subiri februari mwisho huko sa hii michicha imeshika hatamu .tunaitikia wito😁Wenye breakfast ya mtori chapati na supu ya kuku waniwekee hapa tafadhali
🤣🤣🤣Kuku kakolea viungo mpaka huku navisikia 😄😄😄
FigoFigo, firigisi tupe jibu
Umenitoa mate ngoja nifanye makeke dinner iwe kama hivi nitaongeza parachichi na ndizi tu hapo.
Yes itakuwa safi sanaUmenitoa mate ngoja nifanye makeke dinner iwe kama hivi nitaongeza parachichi na ndizi tu hapo.
Mkuu shemeji ana mkono mzuri.Feel ma feel ma.View attachment 1675700
Yes itakuwa safi sana

Msalimie shemeji yetu hapo..Feel ma feel ma.View attachment 1675700
Kaka salamu zimefika.Msalimie shemeji yetu hapo..

Hii itakua nyama ya mbavu dah na ndizi inanoga sanaMuda wa kazi.View attachment 1676087