Hiyo staili ya mkato wa shingo nimeipata..... Ntaleta mrejesho
Fanya hivyo kama huna wageniHiyo staili ya mkato wa shingo nimeipata..... Ntaleta mrejesho
New mkato kwa ajili ya new year.....Fanya hivyo kama huna wageni
Hii ni keki ya ugali ?????
uwanja wa nyumbani huu
Bila shaka ni kibudu kwa huo mchinjo hakuna swali
Msosi mzuri sana, "ahsante" but kama wiki nzima hii sijuwa hewaniKaribu
Tunasubiri........Wapendwa nimerudi baada ya kuadimika, baadae kidogo kitu chakitawajia. Leo ni 8pus na chipsi
Tunasubiri........
KulikonMsosi mzuri sana, "ahsante" but kama wiki nzima hii sijuwa hewani
El teléfono se murió de la bateríaKulikon