Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Usiku nataka kupika mlenda pori.Huu ndio mlenda sasa
Jr
Nyie wenyewe wataalamu wa afya mnatuambia tule vyakula vya kuteleza kukomesha madonda
Sasa Mimi madonda ya tumbo yatanikoma..nakula bamia kila muda,hapo nakunywa Hadi Yale maji yake
Nipe location basi kama ni Dar..maana nahisi ni Dodoma maana ndo wanakopenda milenda sanaKaribu uonje
Sio dodoma wala sio darNipe location basi kama ni Dar..maana nahisi ni Dodoma maana ndo wanakopenda milenda sana
Mwanza au Morogoro?Sio dodoma wala sio dar
Kweli haujui kukisiaMwanza au Morogoro?
Kweli haujui kukisia
Huwezi kukisiaMoshi...kama sijapatia,nitajie kabisa ulipo
Kwa menyu hiyo ikiliwa usiku lazima uote ndoto mbaya😀hii ndo menyu yangu pendwaView attachment 1468696
Hahahaaya bhana..Ndaga fijo!!
Inavutia sana