Wacha weee. Double bundle
Mmh unatafuta kufaDah wakati mimi niko huku View attachment 638192
Jana si nikaangusha tena kitu cha hii sasa sifa, nilisahau kutupia kapicha huku
Jana si nikaangusha tena kitu cha hii sasa sifa, nilisahau kutupia kapicha huku
Tena tukijaaliwa mara hii nataka niangushe ndegeHahah..siku nyingine usisahau. HSS
Tena tukijaaliwa mara hii nataka niangushe ndege
Mualiko ni miguu yenu tu, karibuni GomzItapendeza kukiwa na mualiko.
nitajialika
Mualiko ni miguu yenu tu, karibuni Gomz
Usisahau pilipili, na mimi kwenye jokofu kuna achari ya embeAmen..itabidi nije na ndizi.