The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mbona umejipunja nyama.?π
Chai hii ilikutambua vizuriπ..Nimetamanii tayari
Asante mkuu....Maji+unga=ugali
Washa jiko weka sufuria yenye maji kiasi. Koroga unga kadiria uji usiwe mwepesi wala mzito sana. Koroga mpaka ukianza kuchemka uache uchemke kwa dakika 5. Baada ya hapo ongeza unga kidogo kidogo huku ukisonga. Songa mpaka usikie ugali unanukia na mwiko haunati. Baada ya hapo ipua na ugali wako utakua tayari kuliwa.
Rafiki acha kula sembe, Corona inaweza kukunyanyasa hivihivi!
Mfungo umeisha??
Mfungo umeisha??
Nice food though
Nile wa muhogo au mtama?Rafiki acha kula sembe, Corona inaweza kukunyanyasa hivihivi!
Itakuwa poa sana mrembo japo tukila kwa macho pilau lako la Eidndio tumefungua leo kesho ndio nitakula pilau
Nitarusha ule kwa macho tu
Nikilala vipande vingi meno yanaumaMbona umejipunja nyama.?
Nasikia huwa mnafungua kwa mgegedo pia!ndio tumefungua leo kesho ndio nitakula pilau
Nitarusha ule kwa macho tu
Weeeh, usinambie, basi naomba niwe nakula na wewe ππ
HahahaWeeeh, usinambie, basi naomba niwe nakula na wewe ππ
Mambo vululu vululu tuu, miss you too.....Umeona mwonekano mpya wa Jf
#Njoobrowser