MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,095
dingimtoto kifungua kinywa huwa kinakuwa asubuhi tu.#Kifungua kinywa cha Asubuhi View attachment 1431920
Hivi kuna kifungua kinywa cha usiku?#Kifungua kinywa cha Asubuhi View attachment 1431920
Sawa! Kaka mkubwa
Usi complicate vitu kamandaHivi kuna kifungua kinywa cha usiku?
Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezoUmenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Sasa hiyo si unafunga safari kwenda shamba ndipo ukampate huyo kuku, lakini mjini ni kitu full suit. Unaijua Full suit?Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezo
Hili pilau mbona kama maji yalikuwa mengi??