Yani unakunywa maji yenye harufu ya limao for breackfast af mchana unakula hivi... hakika siku yako lazima iwe na masaa zaidi ya 24
Huwa wanasema "When a woman of the family goes on diet, everybody in the family goes on diet" i hope huwatesi wenzako.
Hahahhha nami kwenye masapta sapta ndio ulevi wanguHahaha polee, usubiri sasa siku nyingine tena tupate muda wa kupika hivyo.
Hapo umejitahid kupika mwenyewe
Duuh, nimepiga pasi ndefu nikiona hivi njaa inauma.
HahahhahahaHapo umejitahid kupika mwenyewe
Duuh, nimepiga pasi ndefu nikiona hivi njaa inauma.
Hivi hicho kidude kwenye avatar huwa kinatumika kufanyaje haswa??
Pole, jinyime siku zote ila si ijumaa jaman
African food
Kinaitwa Rubik's Cube.... Ni puzzle gameHivi hicho kidude kwenye avatar huwa kinatumika kufanyaje haswa??
African food
Mimi mbona nipo,hakuna wakunificha..Umepotelea wapi kwani, nani amekuficha
Shwari, sijakuona jukwaani kitambo my crush 🤣Mimi mbona nipo,hakuna wakunificha..
Vipi lakini??