mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,625
- 2,544
Hahaha kaniuma sana huyo satoAu angetugaia sie na sie tungepata izo nutrients![]()
Hahaha kaniuma sana huyo satoAu angetugaia sie na sie tungepata izo nutrients![]()
Duuh.. kwa Bei Hizo, ni mwaka gani huo?
Huyu ni mchepuko tu anaandaa mazingira ya kuomba hela
Jirani nipoo kwa uweza wa MunguJirani upo? @DingimtotoView attachment 1148258
umekukolea huo zenjiHahhaha nimebrake kinyumbani... Tuonane at 1 pm.
Leo hauja break the fast?
Haushibii.


Nashushia na tendeHaushibii.
Halafu haujagundua tumekula sehemu moja Leo?![]()
Wewe ndio hushibi hata kwa punje
