Bado lunch hapo.
Na bado juice ya kwenda nayo ofisini na maji makubwa ya Kilimanjaro.


Bado lunch hapo.


Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyoBado lunch hapo.
Na bado juice ya kwenda nayo ofisini na maji makubwa ya Kilimanjaro.![]()



Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"View attachment 1146140
Mchana mwema viongozi



Nimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet
Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyo![]()
Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kulaNimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet



Wenye matatizo ya apetite humu panawahusu.Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kula![]()



Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?



Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu![]()
Noma sana...
Mimi namfuata the then minister wa ile ministry kuwa kibaiyolojia zinatubeba sana.


Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu![]()









Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"![]()
cute b wapi hii?Vipi hapa nakujaza nini?View attachment 1143872
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cenaKulikua kuwe na kaugali pembeni nini?

. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni
. Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cena. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni
.
Angeweka kipande kidogo cha samaki, mbogamboga ndio zingejaa hapo.