Kitu sato

Best chemistry ya mboga haijakaa vema... Hazina ushirikiano
Jr![]()




huo ni mchanyatoU hali gani jiraniJirani nakusalim
nokia obama
Bukheri Wa afya, za huko uliko ?U hali gani jirani
Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hiloKama hujaoa mwanamke utakayemuoa atapata shida sana kama hajui kupika
Jr![]()
Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hilo
Ndio maana posa ipo njiani kuelekea unguja kwa mkwe wangu farkhina
Nachukua jiko la mtoto wa fundi.
"mtoto wa fundi, nae fundi atiii"
Ushanifahamu......??
Sent using Jamii Forums mobile app