Bei gani? NahitajiMshana Jr hio Ni home made natural remedie..nine chukua apple Moja,ndani Kuna ginger,malimao matatu na vitunguu swaumu af hio chupa ilikuwa na asali kwa mbali..all this for cleaning utumbo..ingawa kwenye cure garlic na honey hawakuandika ila nimeongezea tu..nitoe masumu na matakataka yote Ni flush na k vant yote system ianze upyaView attachment 1051949

Hio mixture nimetengeneza mwenyewe ila Kama unachohitaji Ni asali ninayo kutokea singida Lita moja 15000 ila kwa kuwa Ni wewe nitakuuzia 14000Bei gani? Nahitaji
Jr![]()
Mi napenda pilau aisee, nikihisi ile harufu yake mie hoiiiiiiiiHamna kitu nachopenda duniani Kama ubwabwa


tutakula sukari mpaka sisimizi waogope 
Hapo jamaa alikua anajiandaa na mechi nzito
Kama sio kanda ya ziwa itakua kanda ya kati
Kwa hisani ya upendo Kutoka kwa rafiki yangu fulani mtu wa Mungu sanaView attachment 1052467
Usihofu mkwe wangu, naandaa na mkeka kabsaMkwe tunakuja Na ndizi Na halua wewe andaa maji ya kahawa tukishakushiba ubwabwa tunaanza mambo yetututakula sukari mpaka sisimizi waogope
Sent using Jamii Forums mobile app
