Hizo chapati umenikumbusha nyumbani kwetu nilipokwenda kwa mama kipindi cha mapumziko ya mwaka
Unapatikana wapi?Njoo uchukue
Hizo chapati umenikumbusha nyumbani kwetu nilipokwenda kwa mama kipindi cha mapumziko ya mwaka
Unapatikana wapi?
Kisukulu, kweli Dar kubwa ndio wapi hiyo?Kisukulu..karibu.
Unaamaanisha Tabata kisukuru, ok. AhsanteTabata hiyo
Unaamaanisha Tabata kisukuru, ok. Itabidi nikipata siju nikutafute.
Thanks my dear.You're warmly welcome.
Chapati zilizotukukaTuko kazini bado!!
Chapati zilizotukuka
Duhh! Sawaa Mkuu wa Tabata Kisukuru!!