Mhhhh!!!! Muda bado Mkuu!! Ndo kwanza kumekucha!! Enjoyyake hii hapa juice inaleta kisukari
Jr
Hi hi hiiiii, wa wa waaaa inhii inhiiUshushie na hii kitu. Dates juice!!!
UPARENI MOJA HIYO
ili waishi mkuuMajamaa mnapenda kula nyie balaa
πππ
hapa udenda unanimwagika mkuu
wawezaHivi siwezi kubandika hiyo kitu kwa kutumia asali?
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"
Hii ni Kali,siwezi kula hiiMwili haujengwi kwa Matofali.