Exactly..Libido ni nyege
Ebana eheee!!!
Exactly..
No ni ya kisayansi mkuu..inaweza kuwa ni kilatini..Kumbe ila hiyo lugha ni kiswahili kweli ?
Duh kwaiyo ukaona upige picha ata hyo ya mwisho mwisho
Birianihyo ni pilau
Kweli leo Friday
nilisahau mwanzoni....nilikuwa na ubao kama nimetoa mimba
KumbeeeHio ni biriani ya kipakistani.
Kabisa....hujawahi kula hio kituKumbeee
Umeona mkuu,lazima ufurahi na ule chakula kizur.Kweli leo Friday
Mayonnaise na diet tena mamyNdio nimeweka pilipili manga,cayene pepper,chumvi,mayonaiz,Na vinegar ni tamu balaa