Haya nayaonaga tu sokon ..ngoja nianze kuyatumia kwa kujua umuhimu wake
Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.Unapenda mixer mixer... ee wali na ndizi hapo hapo
Bwana weeeeee
Ndio maana leo kumetulia kumbe hamna helaTunaomba hela
Hizo rangi zinaenda kufanya kazi gani tumboniKupunguza joto View attachment 882389
ππππHizo rangi zinaenda kufanya kazi gani tumboni
Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.