Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,375
- 37,201
Naomba mwalikooo
Naomba mwalikooo
Nimepiga hapa SPANISH FOOD ILA NJAA PALE PALEE
NAOMBA MWALIKOOO
Chongoi ni wap βΊοΈ sio kwa mapokopoko/pochopocho..Kaibu mpaka chongoi...
View attachment 3360431
Ufike na kinywaji chako.
Mambo ni mwakemwake...
Nafsi inaridhika mahala pawili, kwenye mapenzi na chakula.
Ladha...
Utamu....
Ukikosa kuridhika na mapenzi, basi jiridhishe nafsi yako kwa kula vizuri, vitamu na vinono ushibe hadi utosheke.
Ukiridhishwa na vyote, si haba utakuwa tajiri wa mahaba na raha π.
Chongoi ni wap βΊοΈ sio kwa mapokopoko/pochopocho..
Ehehehehee Chongoi ni ndani
Mapochopocho kwa Bi. Kasinde ni kawaida aka msosi mtu πππ.
Karibu tuufinye π.