Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1749726500048.jpg
 
Kaibu mpaka chongoi...

View attachment 3360431

Ufike na kinywaji chako.

Mambo ni mwakemwake...

Nafsi inaridhika mahala pawili, kwenye mapenzi na chakula.

Ladha...

Utamu....

Ukikosa kuridhika na mapenzi, basi jiridhishe nafsi yako kwa kula vizuri, vitamu na vinono ushibe hadi utosheke.

Ukiridhishwa na vyote, si haba utakuwa tajiri wa mahaba na raha 😉.
Nimependa hapo nafsi inaridhishwa na viliwili."chakula na mapenzi'.No more no less.
 
Back
Top Bottom