Punguza wali ongeza mbogamboga hizo.
Ngoja nikupe nyama 😎😎Punguza wali ongeza mbogamboga hizo.
Naomba nyama😋
Sijaziona Walnut wala Macademia nut na hazel nut...
😹😹😹huyo wa tambi tu🤣
Sijaziona Walnut wala Macademia nut na hazel nut...
Itabidi tuahirishe huu mchuano.....😎
bonge la wife material😹😹😹
Km hivi, hapo najiona bonge la chef cooker