Recipe? 😂😂😂 mama hapo kuna eet sum more na cashew nuts tu. Nilinunua nikamix hapo ili nile kwa urahisiR
Receip tafadhali
Alafu ulizingua 😔Mic u mwenyejiii,![]()
Wali maharage una nafasi yake maalumuMambo niyapendayo 😍
Ila combo ya ndizi nyama na parachichi
Ndizi’ pilau
Makande na parachichi naonaga wali maharage hafikii
Dr Lizzy au Northzone inaniharibu?
Typing errors lakin ndio hasa nilichomaanisha,thanksRecipe? 😂😂😂 mama hapo kuna eet sum more na cashew nuts tu. Nilinunua nikamix hapo ili nile kwa urahisi
Hapa ukijamba 💨 nzi wenyewe wanaogopaSalad😎😎😎😎😎😎😎
View attachment 2974182
Duh😂😁Hapa ukijamba 💨 nzi wenyewe wanaogopa