trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,444
- 10,790
Mimi huwa unanipa njaa tuu, kuna sikukuu moja kama sio Chrisstmass basi new year kuna misosi iliwekwa humu hadi nilisanda akiongoza Saint AnneMi huu uzi hua unanisaidia kupata appetite hasira naenda kuzimalizia home
Mi sinaga jipya zaidi ya pilauMimi huwa unanipa njaa tuu, kuna sikukuu moja kama sio Chrisstmass basi new year kuna misosi iliwekwa humu hadi nilisanda akiongoza Saint Anne


Hapana
Sawa. Niko vzr sana![]()
Safi kabisaNIMEPAMISI MWANZA KULE UNAKULA VITU NATURAL TOKA ZIWANI
![]()
Naweza kuijaribu
Hapana kabisakitu cha supu ya mende
View attachment 566192
Hakisazwi kitu hapo
Hii ndiyo yenyewe sasa
✅![]()
![]()
karibuni kina Adamu
RubiiKimimi![]()