Asante dear🎾MAKOSA UNAYOFANYA KATIKA UPISHI WA CAKE🎾
🎾CAKE KUWEKA MASHIMO SHIMO KWA NDANI
-Umetumia mayai mengi kuliko yanayotakiwa
-Hukuchanganya vizuri mchanganyiko wako wukawa sawa
🎾KEKI KUJAA MAFUTA
-Umetia siagi nyingi/mafuta mengi kuliko kipimo kinachotakiwa
-Umeyeyusha siagi, unatakiwa uitumie bila kuyeyusha
-Hukufuata vipimo
🎾CAKE INANATA KAMA INAUNYEVU
-Umetumia sukari nyingi
-umetiq mayai mengi
-umetumia unga mbaya tumia unga wa cake.
-umeacha sana kuitoa kwenye tin ikaweka unyevu
-maji mengi au maziwa
🎾KEKI HAIJAUMUKA
-Umetia baking powder kidogo/umeupiga sana mchanganyiko umeua nguvu ya bakingpoda
-Moto ulikuw mdogo
-chombo kilikua kipana sana
- umeacha sana mchanganyiko kabla hujaupika
-hukuchanganya mahitaji kama inavyotakiwa
🎾KEKI IMEWEKA MLIMA/ IMEPASUKA JUU
-Umeupiga sana mchanganyiko wa siagi au mayai
-moto ulikua mwingi
🎾KEKI IMEWEKA SHIMO KATIKATI
-Kufunua funua ukaingiza hewa.
-Moto mdogo
-sukari nyingi au siagi nyingi
-umechanganya sana mchanganyiko wako
🎾KEKI IMEKUA LAINI SABA MPAKA INAMOMONYOKA
-Umetumia sukari nyingi
-umetumiq baking poda nyingi
-umechanganya vibaya
umetumia mafuta/ siagi nyingi
KaribuAsante dear
NzuriSaint Anne hata mimi nimewahi kutengeneza 🎂miaka 💯 iliyopita. 😁
View attachment 2619544View attachment 2619545
[emoji4]
Saint Anne hata mimi nimewahi kutengeneza [emoji512]miaka [emoji817] iliyopita. [emoji16]
View attachment 2619544View attachment 2619545
Nusu kiloHii ni kilo moja?
Sawa na tin umetumia ya nusu au kilo?Nusu kilo
Nzuri sana ni kiasi gani hii
Hivi oven inatakiwa iwe imeshika sana moto ndio uweke au joto la kawaida tu ndio uweke cake iive
Tin Inch6 ndiyo niliyotumia.Sawa na tin umetumia ya nusu au kilo?
Rangi ya brown inavutia zaidiiKama unatumia oven set moto 160(inategemea na oven yako) chini dk45,,keki ikishapanda weka moto wa juu kwa dk 10.
Siku hizi mabaker wanapikia moto wa chini mwanzo mwisho.
Juu anaset mwisho kabisa wakati keki ishaiva ili apate tu ile rangi ya brown.
Sh ngapi zinauzwa? Na zipi nzuri?Tin Inch6 ndiyo niliyotumia.
Ni nzuri kwa mchanganyiko wa nusu.
Waweza tumia 5 au 7.
Zile dk 10 za moto wa juu zitakupa rangi ya brownRangi ya brown inavutia zaidii
Yaan mim kuna kushoto na kulia na chini hakuna juu akii 😂😂😂Zile dk 10 za moto wa juu zitakupa rangi ya brown
Elfu 5 tuSh ngapi zinauzwa? Na zipi nzuri?