Marisia
JF-Expert Member
- Aug 18, 2016
- 234
- 344
@Depal hatishiki! Angelikua mhadhari, ogopa sana asijepeana hotuba ya zaidi ya 3hrs kuhusu swala hili zima!wanasubiria hasira za mwalimu zikolee vizuri.
Alafu usimtishe Depal bana. Siku mkiwa wageni wangu ntapika kama tuko shereheni.
Kazi ni kwenu!!!![]()
Swali la kwanza atakalouliza...
Sherehe itakua yetu sote au bado utabaki na vipimo vyako vya kawaida?
Utamu wa sherehe ni kufurahia wote. Sio mmoja kajipea mipaka, vikomo na vipimo




