Bonge 😂😂😂Kwa mpemba ilala..2
View attachment 2542769
Home made, hapo umekosekana mboga ya majani tu

Home made, hapo umekosekana mboga ya majani tu![]()
Hii kitu kuna mda mtu unataka unafika unaikuta ndo inatolewa unachukua mapande yako nyama nyingi ugali kiduchu unatandika unarudi kwenu huna hamu😋
Hivi utaweza kula Doriani kweli!?![]()
Pole sanaNimelipewa nimeshindw kabisa kulila
Yana shombo fulani amazing km mafenesi.Nimelipewa nimeshindw kabisa kulila
Wali ndondo cup, hii mechi huwa sijawai kuelewa.
Hii suprise bi mkubwa😁😋
Ugali malizia tuanze kupiga magoli.Wapenda dagaa
Wekundu wataitwaje blue fish?Wanaitwa blue fish