The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 642
Hahahaha sipati picha lagha yakeHuu upishi wa kabila gani? Au ni ugunduzi binafsi?
Karibu shemelaaKwahiyo sie mashem wako ndio hutukaribishi? uchoyo huo
Missyrose kumbe mpo wawili tu ndani ya geto
Mshana hii ni kitu gani? Mbona iko kama kitawa kile cha wachaga sema kina pilipili mbuzi