Vitumbua kama hivi vinakuwa vitamu balaa hasa vikiwa vya mayai, vinakuwa vitamu kama kuleeee!!
HahahaBasi nilivyoona hicho kistendi nikajua ni oven
Na imekaa vizuri sana
Kusema ukweli imetoka vizuri sana
Very clever, genius!
I hate macaroni and the likes.
Acha sie wapenzi tufaidi 🙂I hate macaroni and the likes.
FurahiaAcha sie wapenzi tufaidi 🙂