Mkuu achaxutani bana, vitumbua 20 ndio unaonda vingi? Hapa tayari nishavimaliza, nikagonga na yai nimeshushia na maji ya bariiiidi, hapa nilipo sahv nimekunja 4Huo mzigo huumalizi

Huo mzigo huumalizi
kuni zinasumbuaMbona ugali bado?
kuni zinasumbua ila nasonga ugali soon hahahaKwahiyo leo unakula unga na hizo mboga?
Una kabinti pembeni lazima
Hakapo pemben kamelalaUna kabinti pembeni lazima
Hahahahaha unajifanya hujui ubwecheHiyo sahani hapo..huo ni ubwabwa?![]()