Uzi wa vyakula tu

Sipendi kande,sipendiiiii,..yaan hata uweke kuku ndan,

Nilizila sana O-level boarding skull,had zilinipanda kichwan maanina
Mimi nikila huwa naumwa saaana na tumbo, mara ya mwisho kula ni 2013 kama sikosei na sitakuja kuzila tena.
 
Nimeshaoa mbona, na watoto wawili, haya mambo sio ya wanawake peke yao, hata sisi wanaume yatupasa tuyajue. Na ukiwa unayajua, hutopikiwa vibaya. Siku mke akizingua wala hupati shida unaingia mwenyewe jikoni na kutoa vitu munakash.
Hivi unavyotumaga si unapikaga mwenyewe?
 
Karibuni dinner ya mwanaume wa Dar
DSC_0010.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom