Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 14,558
- 112,972
mkia wa ng'ombeHiki ni chakula gani!!?
mkia wa ng'ombeHiki ni chakula gani!!?
Ahaa wachaga wanaita kidun'goimkia wa ng'ombe
Sasa mbona umeunguza mtura?
Kisamvu Maini, tualikane jamani
Anakera sana huyo,kongoro linatuokoa sana watu wa vyombo ye analiita majina mabayabayaKongoro, usituharibie jina la supu pendwa